Diamond platinumz na maajabu yake YouTube

Diamond Platnumz analinganishwaje na nyota wengine wa Afrika katika mtandao wa YouTube?

Diamond Platnumz akishangazwa na wazalishaji wake wa muziki nyumbani kwakeHaki miliki ya pichaWCB_WASAFI

Diamond Platinumz alishangazwa na wazalishaji wake wa muziki wiki iliopita walipoingia katika nyumba yake na keki iliokuwa na nembo ya kuadhimisha hatua muhimu ya nyota huyo wa Tanzania.

Huku akipigwa picha akivalia nguo , mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 aliambiwa na kundi lake kwamba ndiye msanii wa kwanza katika jangwa la sahara kupata views bilioni moja katika chaneli ya Youtube

Comments

Popular posts from this blog

MATUMIZI YA DAWA