Diamond platinumz na maajabu yake YouTube
Diamond Platnumz analinganishwaje na nyota wengine wa Afrika katika mtandao wa YouTube? 16 Juni 2020 Sambaza habari hii Facebook Sambaza habari hii WhatsApp Sambaza habari hii Messenger Sambaza habari hii Twitter Mshirikishe mwenzako Haki miliki ya picha WCB_WASAFI Diamond Platinumz alishangazwa na wazalishaji wake wa muziki wiki iliopita walipoingia katika nyumba yake na keki iliokuwa na nembo ya kuadhimisha hatua muhimu ya nyota huyo wa Tanzania. Huku akipigwa picha akivalia nguo , mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 30 aliambiwa na kundi lake kwamba ndiye msanii wa kwanza katika jangwa la sahara kupata views bilioni moja katika chaneli ya Youtube